Ghala la Taarifa na machapisho ya kilimo
Ghala hili,limebeba machapisho na taarifa mbalimbali za kilimo zilizo rahisishwa kwa matumizi ya wakulima, wafugaji, wavuvi, maafisa ugani na wadau wengine wa kilimo.

Recent Submissions
Kilimo Bila Udongo
(Globalpublishers.co.tz, 2020-01) Globalpublishers, Globalpublishers
kilimo Bila Udongo,katika teknolojia hii, kinachofanyika ni kujua ili mmea uweze kumea, kukua na kutoa mazao, huwa unahitaji virutubisho na madini gani katika ardhi? Ukishajua mahitaji hayo, basi zinatafutwa kemikali zenye virutubisho vinavyotakiwa, zinachanganywa kwenye maji na kuwekwa kwenye mabomba maalum ambayo kwa juu, huwa yana matundu maalum ambapo ndipo mmea unaotakiwa kulimwa,/huwekwa.
Ijue Faida Ya Kula Magimbi Kiafya Muungwana Blog ,2018
(Muungwana Blog, 2018) Muungwana Blog
Magimbi ni kinga na pia ni tiba kama ambavyo nitakueleza leo faida za magimbi.
Kilimo cha Nyanya Chungu
(Mjasiriamali Hodari, 2018-02)
Nyanya chungu ni zao jamii ya mbogamboga linalotumika kwa matumizi mengi kama mboga, dawa n.k. Zao hili hustawi maeneo yenye halijoto tofauti tofauti nchini Tanzania.
Faida za kiafya za Mayai
(Uly Clinic, 2020-04-05) Uly Clinic
Mayai ni aina ya chakula muhimu kwa binadamu, huwekwa kwenye kundi la vyakula vyenye protini. Mbali na kuwa na protini mayai ni chanzo kizuri cha vitamini A, B, B12 na D, kolesto kwa wingi na madini ya lutein na zeaxanthin .
Yai huweza kuliwa likiwa bichi, kuchemshwa au kukaangwa. Kama ilivyo kwa baadhi ya vyakula, yai hupoteza virutubisho linapochemshwa kwa muda mrefu au kukaangwa. Vitamin D kwenye yai hupungua kwa kiwango kikubwa endapo yai litapikwa kwa muda mrefu. Hata hivyo kuchemsha au kukaanga yai kwa muda mrefu hupunguza kwa asilimia kwa asilimia 90 hivyo kupoteza umuhimu wake katika mwilini
Vitamini Muhimu kutoka kwa kuku
(Timu ya Medicover, 2024-08-05) Timu ya Medicover
Kuku ni chakula kikuu katika lishe nyingi ulimwenguni, sio tu kwa utangamano wake na ladha yake, lakini pia kwa faida zake za lishe. Miongoni mwa faida hizo ni vitamini na madini muhimu ambayo kuku hutoa, ambayo huchangia kwa kiasi kikubwa afya yetu kwa ujumla.
Makala hii itachunguza vitamini muhimu vinavyopatikana katika kuku, ikiwa ni pamoja na Vitamini C na Vitamini B12, pamoja na virutubisho vingine muhimu.