Ufugaji bora group2024-10-162024-10-162024-10-11https://ufugajibora.co.tz/ufugaji-bora-wa-bata-mzinga/http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/940Bata mzinga ni bata ambao wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi. Kabla ya kuanza ufugaji wa bata mzinga ni lazima kuhakikisha una chakula cha kutosha kwa sababu ulishaji wa ndege hawa kadri wanavyokua huwa na gharama kubwa zaidi.otherBata mzingaUfugaji boraBata mzingaUfugaji bora wa bata mzingaLearning Object