Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)2026-09-072026-09-072023https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1034KipeperushiUsimamizi wa maji ni mojawapo ya shughuli muhimu katika kilimo cha mpunga Inashauriwa kumwagilia kwa mfumo wa kuingiza na kusubili maji yakauke shambani kabla ya kumwagilia tena (AWD). Kwa kufanya hivyo husaidia kupunguza maji kati ya asilimia 40-50 kuanzia hatua ya kupanda hadi kuvuna. Mbinu hii, husaidia mzunguko wa hewa ardhini katika mashamba ya mpunga na pia inasaidia mizizi kukuwa vizuri.otherMajiUmwagiliajiUtaratibu wa kumwagilia maji kwa teknologia ya AWDOther