Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania2026-09-012026-09-012023https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1021KipeperushiMavuno ya malisho katika sehemu za tropiki hutofautiana kwa wingi na ubora kutegemeana na aina, ukomavu, hali ya hewa rutuba ya udongo na matunzo. Majani na miti ya malisho yaliyovunwa huhifadhiwa ili kutumika wakati wa upungufu wa malisho kipindi cha kiangazi. Hifadhi ya malisho inaathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa, uzalishaji hafifu na uelewa mdogo wa mbinu za uhifadhi.otherMalishoMifugoMajani ya mifugoUhifadhi wa malishoOther