2019-02-192019-02-192005http://10.10.11.5/handle/123/447Wakati ukiwa mjamzito au unanyonyesha mwili wako unahitaji mlo kamili ambao hutokana na kula vyakula vya aina mbalimbali. Vyakula mbalimbali kila siku husaidia kuhakikisha kuwa unapata nishati na virutubishi vyote vinavyohitajika mwilini mwako pamoja na mahitaji ya mtoto.otherLisheWajawazitoKinamamaMtotoLishe Wakati wa Ujauzito na Kunyonyesha - Vidokezo muhimuArticle