Shirika la chakula Duniani2024-02-232024-02-232018-09-07http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/810JaridaKumeshuhudiwa kuibuka suala la umuhimu wa kula mboga katika miaka ya hivi karibuni hasa kutokana na wasi wasi kuhusu afya zetu, harakati za wateteaji wa haki za wanyama na mazingira. Walaji mboga tu ni wale ambao hawali nyama, kuku, samaki au bidha zozote kutoka kwa wanyama, yakiwemo mayai na bidhaa kama maziwa.otherUlajiMboga za majaniFaida za mboga za majaniMbogaUlaji mboga pekee unaweza kuwa na manufaa gani kwa afya ya mwanadamuArticle