2024-06-242024-06-242018-04https://kilimohaitz.blogspot.com/2018/04/kilimo-cha-rozela.htmlhttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/875Matumizi kwa wananchiRosella ni mmea wenye virutubisho vingi kama vitamini na madini ya chumvi chumvi. Hutumika kutengeneza juisi, jam, jellies, sauces na mvinyo(pombe). Rosella hutumika kama kinga ya mwili na magonjwa kama saratani, ini na ukosefu wa lishe na inapunguza rehamu na kutibu presha.Kilimo cha Rozela na faida zakeKilimo cha rozela na faida zakeRozela /ChoyaArticle