Wizara ya Mifugo na Uvuvi2026-03-162026-03-162025https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/963JaridaBodi ya Nyama Tanzania imeundwa chini ya Sheria ya Nyama Namba 10 ya Mwaka 2006 na kuzinduliwa tarehe 14 Novemba 2008. Bodi imepewa mamlaka ya kusimamia utekelezaji wa Sheria ya nyama kwa lengo la kuweka misingi madhubuti ya kiutawala ili kuhakikisha uzalishaji, usindikaji na biashara ya nyama na bidhaa zake unazingatia viwango vya ubora ili kukidhi mahitaji ya soko la ndani na nje.otherNYAMANANENANEJIKO LA KUCHOMEA NYAMAKUKUNG'OMBEMBUZIMALISHO BORANDAMA WA NG’OMBEMAZIWAMALISHOUVUVIUGONJWA WA MDONDOKAAMWANISAMAKIMaonyesho ya kimataifa ya NanenaneOther