Sokoine University of Agriculture, Mradi wa Food land Mvomero2024-08-022024-08-022024-07SUA -Morogorohttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/897For public useLishe ni sehemu muhimu ya afya na maendeleo.Lishe bora inahusisha kuboreshwa kwa afya ya watoto wachanga kuanzia wakiwa tumboni ili kuwawezesha kukua vyema kimwili na kiakili, kujenga kinga imara zaidi, kupunguza hatari ya magonjwa na kuwa na maisha marefu. Watoto wenye afya bora hujifunza mambo kwa haraka na kufanya vyema shuleni.Wanapokuwa watu wazima wana nguvu na uwezo wakujitengenezea nafasi ya kuvunja mzunguko wa umaskini na njaa katika kaya na jamii kwa jumlaUboreshaji lishe kupitia uzalishaji na ulaji wa aharageUboreshaji lishe kupitia uzalishaji na ulaji wa aharageUzalishaji na ulaji wa maharageLearning Object