Missano, H.Temalilwa, C. R.Maganga, S.2022-04-202022-04-201994-04-149976 910 29 0http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/641Kijitabu hiki ni kimojawapo kati ya vijitabu vyenye lengo la kuelimisha jamii juu ya masuala mbali mbali ya lishe. Wazo la kuandika kijitabu hiki limetokana na ukweli kwamba hakuna maandiko ya kutosha yanayohusu elimu ya lishe kwa wananchi. Vile vile uandishi wa kijitabu hiki umelenga kutoa fursa kwa jamii iweze kuelewa na kutafakari matatizo yake ya kiafya na kilishe hasa ya upun gufu wa vitamini A. Maudhui yaliyotumika ni rahisi na yanayoeleweka. Hivyo ni matarajio ya Wizara ya Afya kuwa maandiko haya iwapo yatasomwa na kutekelezwa yatachangia kuinua afya na lishe ya jamii.otherVitamini A.Upatikanaji wa vitamini A.Upungufu wa vitamini A.Wajibu wa jamiiWajibu wa familiaZuia upungufu wa vitamini AKijitabu kwa JamiiKijitabu kwa JamiiBook