Inades-formation, Tanzania2022-04-202022-04-201990-07-19http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/633Ni asubuhi na mapema Bwana shamba anakutana na Matonya akiwa na shoka beganiJ hengo mkononi na kibuyu cha maji. Hiki ni kipindi cha kiangazi Miti imepNkutisha majani nyasi na vichaka vyote vimekauka majani yote. Upepo unatimua vumbi kila mahali hasa katika maeneo yenye njia za mifugo mashambani na hata barabarani. Na maeneo ya milimani yameanza kuchomwa moto.otherMmomonyoko wa udongoAina za mmomonyokoKudhibiti mmomonyokoMafunzo ya kilimo.Kutayarisha shamba na kuhifadhi udongo.Book