Tiisekwa, F. AKashindye, A2018-07-032018-07-032011-10http://10.10.11.5/handle/123/236Baada ya kusoma kijitabu hiki msomaji anatefgemewa kuweza: - Kutunza vizuri kumbukumbu na hati za biashara. - Kuujua umuhimu na thamani ya kumbukumbu za biashara. - Kuzitathmini benki na kuweza kuchagua akaunti ya benki inayofaa. - Kuambatisha gharama kwenye bidhaa na kupanga bei na mishahara ambavyo vitawasaidia katika uainishaji. - Kujua umuhimu wa orodha ya bidhaa na jinsi ya kuisimamia ili kupunguza gharama.otherUsindikajiKumbukumbuBiasharaKutunza kumbukumbu za biashara kwa wakufunzi na wasindikaji: Mradi wa kusindika kibiashara matunda na mbogamboga unaotekelezwa Tanzania na RwandaBook