Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)2026-09-012026-09-012025https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1020KipeperushiMbaazi ni zao la jamii kubwa ya mazao aina ya mikunde, faida zake kubwa ni chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama, linavumilia ukame, hupunguza umasikini kwani zao hili ni chanzo cha mapato kwa kaya, hurutubisha udongo kwani katika kilima kwake linaweza kuchanganywa na mazao mengine shambani kama vile mahindi na mtama.otherMbaaziKilimo cha mbaazi za muda mrefuOther