Menas, John2024-07-302024-07-302023-08-25https://lishe4life.com/faida-za-ulaji-wa-matunda-na-mboga-mboga-kwa-afya/http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/894Public useMatunda na mboga mboga, kama vile nanasi na brokoli, huchochea mfumo wa mmeng’enyo mwilini, kufanya hivyo kuwa rahisi kumeng’enya chakula na kupunguza maumivu ya tumbo. Matunda yana vimeng’enya ambavyo husaidia katika mchakato wa mmeng’enyo, huku mboga mboga zikitupatia makapimlo yanayosaidia katika kulainisha njia ya chakula.otherMboga mbogaMatundaMboga mboga na matunda.Kwa nini wataalamu wanapendekeza ulaji wa mboga mboga na matunda kila siku?Learning Object