Idara ya ukuzaji viumbe maji2023-02-282023-02-282022http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/677Mwani ni aina ya mimea inayoota na kukua kwenye maji chumvi (bahari) na maji baridi (mito, maziwa na mabwawa). Tofauti iliyopo kati ya mwani na mimea mingine inayokua kwenye nchi kavu ni kwamba mwani hautegemei mizizi kufyonza maji na virutubisho vingine bali hutumia sehemu zote za mmea kuvyonza virutubisho vinavohitajika kutoka kwenye maji. Aina ya jamii ya mwani inayolimwa nchini Tanzania kitaalam hujulikana kama “Eucheuma denticulatum” na pia huitwa Eucheuma spinosum. Aina nyingine ni “Kappaphycus alvarezii” kwa jina jingine Eucheuma cottonii.MwaniKilimoKilimo cha mwaniArticle