TARI2026-09-072026-09-072022https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1030KipeperushiMafuta mwali (Virgin Coconut Oil-VCO) ni mafuta yatokanayo na nazi ambayo hayajaongezwa kemikali yoyote wala kuchemshwa; hukamuliwa, huchujwa na kufungashwa Hukamuliwa toka kwenye nazi safi, kwa mfumo wa Cold Press hivyo ni asili kwa asilimia mia (100%) Pamoja na kuwa na ladha nzuri ya asili, pia yana virutubisho vifuatavyo: Lauric acid, capric acid, caprylic acid, myristic acid, palmitic, Choline, vitamin E, K and Iron. Lauric acid, capric acid na caprylic super fatty acids y 50% ya fatty acid iliyo kwenye mafuta mwali ya nazi ni lauric acid hubadilishwa na mwili kuwa monolaurin ambayo hupatikana katika maziwa ya binadamu (mama)otherNaziCoconutMafutaMafuta ya naziFaida za mafuta mwali ya naziVirgin coconut oil -VCOOther