Shirika la chakula Duniani2024-02-232024-02-232022-11-25http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/812jaridaTangawizi ni nini? Tangawizi ni ya familia moja kama manjano na iliki. Asili ya Asia ya Kusini-Mashariki, India na China, tangawizi ni sehemu ya lishe ya eneo hili na inathaminiwa kwa harufu yake, upishi na dawa. Ingawa tunafahamu zaidi mapishi tunayopenda kama vile mkate wa tangawizi ni zaidi ya kionjo imekuwa ikitumika kwa sifa zake za dawa tangu zamani.otherZaoTangawiziFaida za TangawiziZao la tangawizi na faida zakeArticle