Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)2026-08-192026-08-192025https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/983KipeperushiJinsi ya kudhibiti magugu wakati wa kuanzisha shamba inashauriwa kuchimba visiki na vichaka vyote. Changanya mazao ya msimu katika shamba la Mikorosho hadi pale Mikorosho itakapo songamana. Fanya palizi ya shamba la Mikorosho kwa kulima kwa jembe la mkono, trekta au fyeka kwa kutumia panga au zana zozote.otherMikoroshoMaguguViatilifuMatumizi ya kiuagugu kwenye mikoroshoOther