Magembe, A.2020-11-102020-11-101993-09http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/531Kilimo na ufugaji wa ngombe,mbuzi au kondoo ni shughuli ambazo zina manufaa mengi kwa mkulima,kwani zinategemeana sana.Mkulima ambaye pia ni mfuaji hunufaika zaidi kuliko yule asikuwa na mifugo:na mfugaji naye pia hunufaika zaidi iwapo analima pia mazao.otherMifugo wakulimaFaida za mifugo kwa wakulimaArticle