Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji2023-02-282023-02-282021http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/680Ufugaji wa samaki ni miongoni mwa tasnia inayopewa kipaumbele na jamii mbalimbali hapa nchini, kwa kuwa inatoa fursa za kuongeza kipato, lishe na ajira. Ufugaji wa samaki huweza kufanywa sambamba na kilimo, hususani cha bustani na ufugaji wa wanyama. Ufugaji wa samaki huweza kufanyika kwa lengo la kujikimu katika ngazi ya familia na kibiasharaUfugaji wa samakimabwawa ya samakiSamakiMbinu bora za ufugaji samaki kwenye mabwawa ya kuchimba.Article