2018-10-042018-10-042018-06http://10.10.11.5/handle/123/328Katika nchi yetu, wakulima wengi wameshazoea kutumia ng'ombe au punda kukokota plau au mkokoteni. Wanafurahi uzoefu huo kwa sababu wameshapata faida nyingi. Wakulima wengine bado wanasitasita kutumia ng'ombe wao kufanya kazi.otherPlauZana za kilimoTekinolojiaKulima kwa plauArticle