Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)2026-09-072026-09-072024https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1029KipeperushiMpunga ni zao muhimu kwa matumizi ya chakula na hata biashara. Ongezeko endelevu la uzalishaji wa mpunga linahitaji matumizi ya aina bora ya mbegu, mbinu bora za kilimo, mbinu bora za uzalishaji zinazozingatia mabadiliko ya tabia nchi na teknolojia nyinginezo zilizoboreshwa kwenye mnyororo mzima wa thamani.otherMpungaKilimo bora cha MpungaOther