Bodi ya tumbaku2023-03-012023-03-012022-11-23www.tobaccoboard.go.tzhttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/693Tumbaku huzalishwa kwa ajili ya majani yake,majani ya tumbaku yanapo komaa huvunwa na tumbaku hutumika hasa kutengeneza sigara.Aina za tumbaku zinazo limwa Tanzania ni tumbaku ya mvuke (VFC) na tumbaku ya moshi (DFC). Tumbaku ya Moshi hulimwa kusini mwa Tanzania hasa Ruvuma na tumbaku ya Mvuke hulimwa Tabora, Shinyanga, Kigoma, Katavi, Iringa, Mbeya, Songwe, Singida, Morogoro, Mara, Kagera na Geita.otherKilimoTumbakuBodiKilimo bora cha tumbakuArticle