Mussa, D2018-07-202018-07-202018http://10.10.11.5/handle/123/263Ufuta (simsim/sesame) ni zao la kibiashara ambalo mbegu zake zina kiasi kikubwa cha mafuta kiasi cha asilimia 45 hadi 55.Na zao hili linaweza kulimwa maeneo mengi ya Afrika mashariki na Tanzania.Ni zao ambalo linatowa mafuta yenye thamani kubwa na hivyo kulifanya zao bora la biashara.otherUfutaMbegu za mafutaSesameSimsimKilimo bora cha ufutaArticle