Braun, M2024-02-232024-02-231995http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/817Viazi vitamu ni mojawapo ya vyakula ambavyo hutumika sana nchini, watu wengi hutumia kama kitafunwa cha asubuhi,Pia wengine hutumia kama chakula ambapo hupikwa kama mlo wa kawaida wakati wa mchana au usiku.Hivyo basi kuna tofauti ya kuviandaa, unaweza kukaanga au kuchemsha pia.otherViazi vitamuMbinu boraWaduduMashambuliziMbinu bora za kupunguza mashambulizi ya wadudu kwenye viazi vitamuLearning Object