YARA2026-09-102026-09-102023https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1040KipeperushiFaida ya kutumia programu ya mbolea ya YARA kwa zao la viazi husaidia kupata faida mbalimbali ikiwemo uchocheaji na ukuaji wa haraka wa viazi, hukuza unene wa shina na matawi mengi, inaongeza ukijani wa majani unaodumu muda mrefu, huchochea utungaji wa viazi vingi kwa kila shina, hunenepesha viazi vyenye umbo linalofanana, huzalisha viazi vinavyo hifadhika kwa muda mrefu baada ya kuvuna, huzalisha viazi vyenye ngozi imara visivyokuwa na michubuko.Na hutoa lishe kamili na linganifu kwa kila hatua ya uwekaji.otherViaziSokoniMboleaOngeza ubora kutoka shambani hadi sokoniOther