TARI2026-10-162026-10-162024-10https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1043Wadudu hawa hushambulia mpunga, mtama, ngano, mahindi, michaichai na miwa. Husababisha madhara kwa kufyonza majimaji kwenye majani na kuyafanya kuwa na rangi ya zambarau, nyekundu au njano, hivyo kupunguza uwezo wa mmea kuzalisha sukari na hatimaye mmea kudhoofika.otherKidukari njano wa MiwaOther