Shetto, M.C.2024-04-222024-04-222003-069987 605 96 6http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/861Wanawarsha pia waliorodhesha mazao ya jamii ya mizizi ili kuelewa aina za mazao haya. Aina tano za mazao ya jamii ya mizizi yaliorodheshwa nayo ni: Muhogo, Viazi vitamu, Magimbi, Viazi vikuu, Viazi mviringo, angawizi na Karoti. Wanawarsha walikubaliana kuwa mazao ya jamii ya mizizi ambayo wakulima wengi wanalima ni matano na hayo yakapcwa kipaumbele kwa kutumia mbinu ya mlinganisho joziotherMazaomizizichakulaMazao ya jamii ya miziziUmuhimu wake katika uhakika wa chakula na pato la kayaLearning Object