Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania2026-09-072026-09-072026https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1032KipeperushiKaranga ni zao muhimu la mafuta, ambalo hutumika kama chakula cha binadamu. Mashudu na majani yake hutumika kulisha mifugo. Tanzania ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa karanga Afrika Mashariki na baada ya Sudani kusini. Karanga hustawi zaidi Mikoa ya Mtwara, Dodoma, Shinyanga, Kigoma, Katavi na Tabora.otherKarangaKilimo bora cha KarangaOther