Kituo cha ushauri nasaha, Lishe na afya2024-10-082024-10-082006-089987-9017-4-3http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/934Lishe bora ni muhimu kwa watoto wote hususan wenye virusi vya UK1MWI kwa ajili ya ukuaji na maendeleo yao. Watoto wanakua kwa haraka hivyo wana mahitaji makubwa ya chakula ili kuwapatia virutubishi muhimu yaani nishati-lishe, protini, madini na vitamini. Watoto wanaoishi na virusi vya UKIMWI na wenye UKIMWI wako katika hatari kubwa ya kupata utapiamlo kutokana na: 1. Ongezeko la mahitaji ya virutubishi hasa nishati-lishe. 2. Maradhi ya mara kwa mara, 3. Ulaji duni, 4. uyeyushaji na ufyonzwaji duni wa virutubisho mwilini.otherLisheVirusiUkimwiMtotoLishe kwa mtoto mwenye virusi vya ukimwiUmri kati ya miaka 2 mpaka 9Learning Object