Shirika la chakula Duniani2024-02-232024-02-232022-03-17http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/809JaridaGramu 80 za nyanya hutoa karibu 5% ya mahitaji ya kila siku ya potasiamu ya mtu mzima. Ulaji wa vyakula vyenye potasiamu husaidia mtumiaji dhidi ya ugonjwa wa kiharusi na inaweza kuhusishwa na kiwango cha chini cha ugonjwa wa moyo. Nyanya pia zina ina lycopene, ambacho hutoa rangi nyekundu. Kuna kundi kubwa la utafiti unaofanywa kuhusu lycopene na sifa zake za kiafya, ikiwa ni pamoja na uwezo wake wa kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo na mishipa.otherKilimoZao la nyanyaFaida za nyanyaNyanyaArticle