2018-06-132018-06-132005http://10.10.11.5/handle/123/143Ufugaji wa sungura ni moja wapo ya chanzo kizuri cha mapato nchini Tanzania kama watanzania watafanya yafuatayo, • Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. • Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji wa sungura. • Chanzo endelevu cha mtaji kwa ajili ya mradi. • Hulka ya uvumilivu na kuthubutu. • Malengo thabiti ya ufugaji wa sungura. • Tathmini ya soko la bidhaa za sungura. • kujipatia maarifa ya msingi ya ufugaji wa sunguraotherSunguraUfugajiUfugaji bora wa sungura - 1Article