Silayo V. C. K.Laswai H. S.Mpagalile J. J.Ballegu W. R.Makungu P. J.Mtunda K.Chilosa D.Nyborg I.2026-02-172026-02-172022https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/961KipeperushiMuhogo ni zao mbadala kwa wakulima wa "Tanzania. Faida za muhogo ni nyingi na hasa katika kuongeza uhakika wa chakula na pato la kaya. Uboreshwaji wa njia za kusindika muhogo ili kupata aina mbalimbali za vyakula umeongeza nafasi ya muhogo katika kilimo hapa Tanzania. Shime sote tuongeze juhudi katika kilimo cha muhogo - MUHOGO NI MALI.otherMuhogoUindikaji wa muhogomihogo michungumihogo mitamuUsindikaji rahisi wa muhogoOther