Wizara ya Kilimo, Idara ya Maendeleo ya Mazao Chakula na Ushirika2023-08-252023-08-252006http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/713Zao la vanilla ni moja ya zao la viungo ambalo asili yake ni Kusini Mashariki ya Mexico na sehemu nyingine za Amerika ya Kati. Vanilla hulimwa katika nchi mbalimbali duniani. Nchi zinazolima kwa wingi ni pamoja na Madagascar, Comoro, Tahiti, Uganda, India na nchi nyingine za Amerika ya Kati.Zao la vanillaKilimo cha zao la vanillaArticle