chuo kikuu cha kilimo cha sokoine2024-07-022024-07-022021-11-04https://www.bbc.comhttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/879Inaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya. Wakati mwingine kutojali kuhusu kuacha kuvila, ama kuvila kwa wingi kunaweza kuhatarisha maisha yako na kusababisha hata kifo. Unapaswa kuwa mwangalifu sana, haswa linapokuja suala la kula aina zifuatazo tano za vyakula. Mbali na kufahamu kupitia makala haya kuhusu hatari ya vyakula hivi, fikiria kuhusu kuviweka kando kabisaotherVyakulaBinadamuHatariVyakula vitano ni hatari zaidi kwa uhai wa binadamu.Article