Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania (TARI)2026-08-202026-08-202024https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/986KipeperushiKilimo mseto ni mchanganyiko wa mazao mbalimbali na mkonge katika shamba. Kilimo mseto katika urutubishaji udongo wa mashamba ya mkonge kina umuhimu kutokana na mfumo wa upandaji. Mfumo wa upandaji mkonge shambani una shawishi kilimo mseto ili kuboresha afya ya udongo.otherMkongeKilimo msetoKilimo mseto na urutubishaji wa shamba la mkongeOther