Mradi wa mafunzo ya wakulima2024-02-232024-02-231983http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/806Uzalishaji wa korosho duniani umekua ukiongezeka kila mwaka kutokana na jitihada zinazoendelea katika nchi mbalimbali kufanya upanuzi wa maeneo ya kilimo cha korosho, pamoja na matumizi ya teknolojiaka- ma vile matumizi ya mbegu bora. Aidha, katika bara la Afrika kumekuwa na jitihada za kuongeza ubanguaji wa korosho pamoja na kuongeza uzalishaji wa bidhaa zitokanazo na korosho.otherKoroshoKoroshoLearning Object