2018-10-042018-10-042018-02http://10.10.11.5/handle/123/339Parachichi ni moja ya tunda ambalo liko katika kundi la mmea wenye ghala mbili, tunda lake hulizunguka peke linalokuwa ndani, kitalaamu parachichi huitwa Persea Americana,parachichi lipo katika kundi la maua kupandwa, umbile la parachichi ni mviringo au yai. Mti wa parachichi unajichevisha wenyewe. Parachichi kibiashara linafaida maana linahitajika sana kiafya.otherParachichiAvacadoKilimo bora cha ParachichiArticle