Heifer International Tanzania2018-02-232018-02-232010http://10.10.11.5/handle/123/107Mwongozo huu una mada zinazoelekeza ufugaji ulio bora wa kuku wa Asili ikiwemo jinsi ya kutambua ubora wa kuku wanaostahili kufugwa, mifumo mbalimbali itakayoweza kutumika na mapungufu yaliyomo katika ufugaji na jinsi ya kuyatatua. Vilevile mwongozo huu unaelezea juu ya utagaji na utunzaji wa mayai, uatamiaji na uanguaji wa vifaranga na njia za kulea vifaranga ili kuzuia vifo katika hatua za awali. Pia mwongozo unaelezea lishe kwa kuku wa Asili, mbinu za kuzalisha kuku wengi kwa muda mfupi ili kuweza kupata faida katika ufugaji, magonjwa muhimu ya kuku wa asili na jinsi ya kuyakinga na uwekaji wa kumbukumbu za ufugaji.otherKabila za kuku wa asiliMifumo ya ufugaji kuku wa asilikuku wa asiliTiba za asiliMwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima wa TanzaniaBook