2018-06-132018-06-132000http://10.10.11.5/handle/123/172Moringa (Moringa spp.) maarufu kama Mlonge ni miongoni mwa miti muhimu kuliko yote duniani. Mti huu ukuao haraka hupandwa katika maeneo mengi na hutumika kama chakula cha binadamu, lishe ya mifugo, tiba mbadala na kusafisha maji.otherMoringa OleiferaMlongeMaelezo ya msingi kuhusu mti wa mlonge (Moringa Oleifera)Article