International Tanfeeds2026-03-162026-03-162025https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/968JaridaMBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji wa samaki. Chanzo endelevu cha mtaji kwa ajili ya mradi. Hulka ya uvumilivu na kuthubutu. Tathmini ya soko la bidhaa za samaki. kujipatia maarifa ya msingi ya ufugaji wa samakiotherSamakiEneo la kufugia samakiBwawa la SamakiUpandikizaji mbegu za samakiUfugaji bora wa samaki 2025Other