Mussa, D2018-09-272018-09-272018-07http://10.10.11.5/handle/123/297Mpunga ni kati ya mazao ambayo yanalimwa sana dunian na pia ni kati ya mazao ambayo yanapendwa sana na watu kutokana na chakula chake kuwa kitamu., leo nitakupa muongozo wa jinsi ya kulima mpunga kitaalam ili kuvuna mazao mengi yenye thaman siku zote maandalizi ya shamba vizuri ni jambo la msingi kwa kua bila kuandaa shamba lako vizuri huwezi kuvuna mazao yalio na ubora. Pia kunahatu za muhimu ambazo lazma mtu uzifate ili kufanyikiwa kupata mazao boraotherMpungaMcheleKilimo bora cha MpungaArticle