TARI2025-12-192025-12-192022https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/952KipeperushiMkonge ni zao linalostahimili sana ukame, ma- gonjwa, na wadudu waharibifu. Hivyo mkonge unahitaji pembejeo chache kuliko mazao men- gine katika uzalishaji. Mkonge hustawi kuanzia usawa wa bahari Mita 0 - 750 na kwenye mae- neo yenye mvua kiasi cha Milimita 500 - 1200 kwa mwaka.othermkonge wa asilimkonge chotaramkongeKilimo bora cha zao la mkongeOther