2020-11-102020-11-101982-06http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/530Kichaa cha mbwa ni ugonjwa wa hatari sana unaoleta vifo kwa binadamu na wanyama.Una dalili zinazoambatana na mishipa ya fahamu ambazo mwanzo huwa ni kuongezeka kwa furaha au hasira,kupoteza fahamu na mwishowe kupooza kwa viungo vya mwili,otherKichaa mbwaKichaa cha mbwa ni hatariArticle