KAJEMBE G.C.MWENDUWA M.I.MGOO J.S.RAMADHANI H.2026-03-162026-03-162000-07https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/965JaridaUhakika wa chakula limekuwa ni suala muhimu katika mijadala mbalimbali ya sera za kuondoa umasikini katika nchi nyingi zinazoendelea. Licha ya ongezeko kubwa la uzalishaji wa chakula katika nchi mbalimbaliwatu milioni 790 katika nchi zinazoendelea wanakabiliwa na uhaba wa chakula. Pia watu milioni 34 walioko kwenye nchi zenye viwanda na nchi zenye maendeleo ya kati wana uhaba mkubwa wa chakula (FAO 1999a). Kama watu wote wasio na lishe ya kutosha wangewekwa pamoja, idadi yao ingekuwa kubwa kuliko bara lolote lile ukiacha bara la Asia (FAO 1999a).otherMAZAO YA MISITUCHAKULA KATIKA KAYAELIMU YA JINSIAUmuhimu wa mazao ya misitu yasiyo miti kwa Uhakika wa chakula katika kaya za TanzaniaOther