Iternational Tanfeeds2026-03-162026-03-162023https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/970kitabuMBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI • Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. • Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji wa samaki. • Chanzo endelevu cha mtaji kwa ajili ya mradi. • Hulka ya uvumilivu na kuthubutu. • Tathmini ya soko la bidhaa za samaki. • kujipatia maarifa ya msingi ya ufugaji wa samakiotherSamakiUfugaji bora wa samakiEneo la kufugia samakiBwawa la SamakiUfugaji bora wa samakiOther