National Coconut Development Programme2021-08-252021-08-251992http://www.nzdl.org/cgi-bin/library?e=d-00000-00---off-0unescoen--00-0----0-10-0---0---0direct-10---4-------0-0l--11-en-50---20-help---00-0-1-00-0--4----0-0-11-10-0utfZz-8-10&cl=CL1.12&d=H`http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/555Kanuni za kilimo bora cha MinaziIli kupata mnazi ulio bora mkulima ni lazima awe muangalifu wakati wa kupanda. Mche uliopandwa vibaya huchelewa kukua na hata wakati mwingine hufa. Mazingira kama vile aina ya udongo, kiasi cha mvua, joto, na mwinuko lazima yaangaliwe kwa makini kabla ya kupanda.KANUNI ZA KILIMO BORA CHA MINAZIKanuni za kilimo bora cha minaziBook chapter