Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Mikocheni2026-02-172026-02-170209-07https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/960KipeperushiViazi vitamu ni zao muhimu la chakula na lishe bora nchini Tanzania. Viazi vitamu vina wanga mwingi hivyo ni njia nafuu ya kuupatia mwili nguvu. Majani ya viazi vitamu hutumika kama mboga na hivyo ni chanzo cha vitamini na madini joto mwilini. Pia viazi vitamu ni chanzo cha kipato kwa familia na taifa.otherViaziViazi vitamuMbegu za viazi vitamuMajani ya viazi vitamuZijue taratibu za uzalishaji wa mbegu za viazi vitamu zilizothibitishwa ubora wakeOther