WIZARA YA KILIMO2022-01-252022-01-252018http://kilimohaitz.blogspot.com/2018/09/fahamu-kuhusu-kilimo-hai-cha-pilipili.htmlhttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/568Pilipili mbuzi ni zao ambalo linaweza kulimwa kibiashara na kumpatia faida nzuri mkulima. Zao hili huitaji mwanga wa kutosha wa jua angalau kiasi cha masaa 6 kwa siku. Pilipili hustawi vizuri zaidi kwenye udongo wenye mbolea ya asili, undongo wenye unyevu nyevu ila usiwe wenye kutuamisha maji. Pilipili mbuzi huitaji udongo wenye pH 6.0 hadi 6.8, Ikiwa PH ni chini ya 6.0 ongezea madini chokaa kwenye udongo; Na ikiwa pH ya udongo imefka 8 onana na wataalam wa kilimo wakusahuri namna ya kuipunguza.otherKilimo, Pilipili mbuzi, MicheFahamu kuhusu kilimo cha pilipili mbuziArticle