Maganga, S.2024-04-222024-04-2219949976910320http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/862Mwili wa binadamu unahitaji maji na virutubisho vya aina mbali mbali. Virutubisho hivyo ni vile vya aina ya nishati, utomwili, madini na vitami-ni. Vyote hivi huhitajika katika kulinda na kujenga mwili ikiwa ni pamojana kutengeneza damu na kuupa mwili nguvu. Upungufu wa virutubishohivi ukitokea huweza kusababisha upungufu wa wekundu wa damu.otherDamuWekunduUpungufuZuia upungufu wa wekundu wa damuKijitabu kwa jamiiLearning Object